Ngono ya kiholela yamtia Wema Sepetu motoni!

Wema Sepetu

Wema Sepetu amekuwa gumzo katika mitandao baada ya kumwanika hadharani mpenzi wake mpya.

Wakati hayo mazuri yakisambaa kama moto kwenye kichaka kikavu, mengine machungu yanaenezwa kwa kasi na Mange Kimambi.

Msanii wa filamu Wema Sepetu

Habari zinazosambaa mitandaoni ni kuwa Wema Sepetu ndiye aliyesababisha  mwigizaji Irene Uwoya kuachana na mumewe ambaye ni mwanamuziki wa nyimbo za kufokafoka (hip hop) Dogo Janja.

Mkewe Dogo Janja, Mange Kimambi.

Kulingana na Mange Kimambi, ambaye aliziandika habari hizo na kuzitupa kwenye mtandao wa Instagram, Wema Sepetu alikula uroda na Dogo Janja huku akielewa fika kuwa alikuwa mumewe Kimambi.

Msanii Dogo Janja.

Tukio hilo lilitukia wiki kadhaa baada ya wawili hao kukutana katika nyumba ya mmoja wa rafiki zao na baada ya gumzo likifuatiwa na matumizi ya vinywaji vikali: Dogo na Wema waliamua kujitenga na wengine ili kujiburudisha.

Na ili kuthibitisha iwapo wawili hao walishiriki tendo la ndoa, Kimambi alimtumia Dogo jumbe kadhaa na kulingana na majibizano yao ni kweli kuwa Dogo aliogopa tukio hilo lingefika mitandaoni.

PIA SOMA: Bahati na Yvette Obura hawakomi kugombana licha ya kila mmoja Yvette kuolewa kwingine