TAHARIRI

Vitabu vimetuficha mengi humu nchini

Msomi mmoja alitongoa kauli kuwa ukitaka kitu fulani cha thamani kuu kifichike fichifichi nchini Kenya, huna budi kukificha vitabuni. Naam, msomi huyo hakukosea kwa maana Kenya ni taifa ambalo halithamini…