Articles by Yahya Mutuku

Ngono ya kiholela yamtia Wema Sepetu motoni!

Wema Sepetu amekuwa gumzo katika mitandao baada ya kumwanika hadharani mpenzi wake mpya. Wakati hayo mazuri yakisambaa kama moto kwenye kichaka kikavu, mengine machungu yanaenezwa kwa kasi na Mange Kimambi….

Safari ya Bobi Wine yakatizwa ghafla

Maandamano yalizuka katika jiji la Kampala mnamo Ijumaaa asubuhi baada ya polisi kuwazuilia wabunge wawili kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wakati walipokuwa wakijiandaa kwenda nje ya nchi kupokea matibabu….
Athari ya ufisadi kwa taifa

Ufisadi ni janga hatari duniani. Nchi yoyote ile inayokumbwa na janga hili na kukosa kuwajibika kukabiliana nalo vilivyo, hatimaye hulemaa kiuchumi. Kutokana na ufisadi, utajiri wa nchi huwa mikononi mwa…


Uanahabari unazidi kudidimia nchini

Tangu zamani nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi darasa la tano, nilikuwa mpenzi wa redio na hivi sasa mapenzi hayo hayajayumba. Nilikuwa msikivu mno katika nyimbo zilizoimbwa zama zile na…


Mwakilishiwadi Jayendra Malde atiwa nguvuni

Mwakilishiwadi wa Parklands Jayendra Malde alitiwa mbaroni na maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi nchini  (EACC) kwa tuhuma za kujaribu kupokea hongo kutoka kwa familia moja inayodaiwa kunyakua ardhi…