Articles by Kibwana Moses

Wanyama pori watakuwa kero hadi lini?

Mola katuumba binadamu pamoja na wanyama. Kati ya wanyama, kuna wale tunaowafuga na kuna wale wanaoishi porini. Wanyama pori hawafugwi, kwani ni tishio kwa maisha ya binadamu. Kutokana na hili,…


Mafuriko yatatuua mpaka lini?

Miezi mitatu sasa, mvua imenyesha kwa wingi hapa nchini, na kusababisha uharibifu wa Mali. Hili lilitokea baada ya muda mrefu wa kiangazi, uliokuwa umekithiri. Lakini je, mbona watu wateseke katika…


Ziko wapi ahadi tulizopewa na serikali ya Jubilee?

Ni takriban miaka saba sasa tangu serikali ya Rais Uhuru Kenyatta kuchukua hatamu. Walipojipigia debe, walituahidi mambo mengi na kutufanya kuwapa kura. Lakini je, miaka michache kabla hatamu yao kuisha,…


Nini baada ya KCSE?

Matokeo ya mtihani wa KCSE yametangazwa, na sherehe zimetanda kila mahali kwa wale waliofuzu. Lakini je, waliopata alama kidogo hatima yao ni gani? Miaka mingi iliyopita, baadhi ya wanafunzi wamejiua…


Vifo Barabarani

Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa mwezi wa Oktoba mwaka huu na halmashauri inayodhibiti usafiri wa umma NTSA, mwaka huu kumekua na nyongeza katika ajali za barabarani, kwa takriban ajali 800…


Mapenzi ya wapenzi kuuana

Enzi hii tunayoishi imejaa visa vya wapenzi kuuana, kwa sababu nyingi. Baadhi ya sababu za wapenzi kuuana ni pamoja na udanganyifu katika mahusiano, na sababu nyingine nyingi, ambazo ni za…